Zillim AIO Systems · Dar es Salaam

Hutakiwi kujifunza prompts mpya kila siku.
Unachohitaji ni mfumo wa AI unaokumbuka, unajenga, na unatoa kazi.

Kwa founders, solopreneurs, na consultants wanaotumia ChatGPT, Claude, Cursor au Grok kila siku lakini bado wanapoteza masaa 10–15 kwa wiki kwa sababu ya mapengo manne — sio kwa sababu ya AI dhaifu.

Angalia kwanza: Operator Mindset (dakika ~12)

Kazi ya uhakika haiji kutokana na prompts bora zaidi au models mpya. Inatokana na mfumo mmoja wa operator — constitution, memory, skills, MCP — unaojengwa kwa masaa 3 na kuendeshwa kwa dakika 30 kwa siku.

Nunua Masterclass · 450,000 TZS Jenga-Operator Guarantee · Lifetime access · Malipo M-Pesa / Mixx / Airtel
Uchunguzi wa Operator Gaps

Unapoteza masaa, sio kwasababu AI ni dhaifu. Ni kwa sababu ya mapengo manne kwenye mfumo wako wa kufanya kazi.

Kila wiki ninaona watu wanaofungua Claude au Cursor, wanauliza swali zuri, wanapata jibu, copy-paste, na kesho wanaanza tena kutoka mwanzo. Tatizo si model. Ni operating system inayokosekana.

Gap 1

Context Gap

Kila session unarudia: "Hii ni project yangu ya X, stack ni Y, client ni Z..." AI haijui chochote kuhusu wewe.

Gharama yake: Masaa 3–5 kwa wiki yakipotea kwa kueleza tena na tena.

Gap 2

Continuity Gap

Unafanya maamuzi mazuri leo. Kesho AI haijui kilichotokea. Unarudia kazi na maamuzi.

Gharama yake: Rework, duplicate decisions, na maendeleo yanayopotea.

Gap 3

Procedure Gap

Unajua jinsi ya deploy, kuandika proposal, au ku-setup workspace — lakini uko peke yako kichwani mwako.

Gharama yake: Makosa, output isiyolingana, na huwezi ku-delegate au ku-scale.

Gap 4

Integration Gap

AI hawezi kufikia Notion yako, Gmail, Drive, Sheets, au repo bila wewe kuwa "middleware" ya kila kitu.

Gharama yake: Copy-paste tax kila kazi unayofanya.

Saa moja iliyookolewa kwa wiki ina thamani gani?

Bei ile ile. Stack ile ile. Masaa yale yale unayotumia. Kinachobadilika ni mfumo unaorudia kazi bila wewe kuanza upya kila siku.

Mfano: Juma — Freelance web dev + SME consultant (Kinondoni)

Bila mfumo
12 hrs
Kueleza projects tena + copy-paste kila wiki
Na mfumo wa operator
4 hrs
AI inafungua repo ikiwa inajua context yako
+8 masaa kwa wiki yaliyookolewa. Unaweza kuchukua client mpya au kumaliza kazi mapema.
Mfumo wa "chatbot" ni hobby. Mfumo wa operator ni biashara. Mfumo wa agentic unakupa uhuru wa muda na uwezo wa kuonyesha kazi halisi kwa wateja.
Elius McBenvics, Zillim AIO Systems
Mfumo

Tuongelee MFUMO wa kujenga na kutoa kazi na AI

Hapa siongelei "prompt tricks 50". Naongelea mfumo mmoja unaoziba mapengo manne kwa mpangilio. Unajengwa ndani ya masaa 3. Unaendeshwa kwa dakika 30 kwa siku.

Operator Profile + Constitution STATE Memory Skills + MCP Agent Harness 30-min Daily Loop

Kwenye hili darasa tutafanya hivi:

Saa 1 — Msingi wa Operator

Chatbot vs Operator mental model. Four Gaps diagnosis. Jenga Operator Profile + Project Constitution (CLAUDE.md / AGENTS.md).

Saa 2 — Jenga Mfumo

Context & Memory (STATE.md). Skills & slash commands. MCP — connect one external tool (Notion / Gmail / Sheets / GitHub).

Saa 3 — Tuma Mifumo

Agent architecture 101. Install Hermes or OpenClaw (layman guides). 30-minute Daily Operator Loop. 7-Day Launch Plan + demo target.

Hii Masterclass ni kwa ajili ya nani?

Kuwa mkweli. Hii imejengwa kama wewe ni mmoja wa hawa:

Mtu 1

Freelance builder / dev — Unatumia AI kila siku lakini bado una-copy-paste na unaeleza tena kila project.

Mtu 2

Solopreneur / consultant — Unataka ku-productize kazi yako. Unataka agent workspace unaoweza ku-clone kwa kila client.

Mtu 3

Founder building internal systems — Unataka kufunga loop ya kila siku na kuwa na first production agent anayefanya kazi.

Hii sio kwa wewe ikiwa bado hujaanza kutumia AI hata kidogo au unatafuta "AI itafanya kila kitu peke yake bila mimi." Hii ni masterclass ya kujenga mfumo unaorudia kazi.
Unachopata

Utapata nini ndani ya AI Operator Masterclass

Hii sio lecture. Ni working session. Unatoka na vitu halisi vilivyojengwa.

# Kipengele Thamani
1 AI Operator Masterclass — Masaa 3 (live session + recording) 450,000
2 8 Core Templates — Operator Profile, Constitution, STATE sync, Skill Builder, MCP Planner, Bug-to-Ship, Agent Scaffolder, 7-Day Launch Plan 300,000
3 Notion CCOS Stack — 12 reference modules + 2 layman agent install guides (Hermes + OpenClaw) 750,000
4 7-Day Operator Launch Plan + Graduation Checklist + daily loop SOP 150,000
Jumla ya thamani 1,650,000 TZS
Offer ya leo (founding cohort) 450,000
Nunua Sasa · 450,000 TZS Founding cohort slots 50 · Baadaye bei itakuwa juu

Nani anafundisha

EM

Elius Kamuhangire McBenvics

Founder, Zillim AIO Systems. Nimejenga Jarvis (operator harness for this repo), ARIA client agents, na mifumo mingi ya wateja katika uzalishaji.

Nimefanya kazi na wateja 70+ na nimejenga mifumo inayofanya kazi sasa — sio theory tu. Hii masterclass ni distillation ya jinsi ninavyoendesha kila kitu kila siku.

4
Operator Gaps
30
Dakika kwa siku
3
Masaa kujenga mfumo
"Acha kutumia AI kama chatbot. Anza kuiendesha kama mfumo." Hii ndiyo tofauti kati ya mtu anayepata majibu mazuri na mtu anayejenga mifumo inayotoa kazi wakati yeye amelala.
Elius McBenvics · Zillim AIO Systems · Dar es Salaam

Watu waliojenga mfumo

Ujumbe halisi kutoka kwa wale walioanza kufunga mapengo yao. (Real testimonials zitakapopatikana.)

Masaa 12 → 4 kwa wiki

"Nilikuwa ninaeleza kila kitu tena na tena. Sasa nina CLAUDE.md + STATE na AI inaanza kutoka mahali nilipoacha."

First agent in 7 days

"Siku 7 baada ya masterclass nilikuwa na agent mdogo anayejibu leads kwenye WhatsApp kutumia skills zangu."

Client project sold from demo

"Nilionyesha workspace halisi badala ya slides. Mteja mmoja alinunua. Masterclass ililipa yenyewe."

One MCP changed everything

"Kupata Notion na repo zikiunganishwa moja kwa moja — sasa ninaweza kuwa na AI inayofanya kazi halisi, sio tu kuandika."

Jenga-Operator Guarantee

Fanya mazoezi yote: Operator Profile, Constitution (CLAUDE.md), STATE ritual, angalau skill moja, na MCP connection moja.

Kama ukimaliza na huoni thamani halisi ya vitendo ndani ya siku 14, tuma kazi yako. Tutakusaidia kuziba mapengo moja kwa moja au tutakupa credit kwenye programu nyingine ya Zillim.

Hii ni guarantee ya kujenga mfumo, sio guarantee ya mapato ya haraka. Nakuheshimu sana kukudanganya.

Founding Cohort

AI Operator Masterclass

Acha kutumia AI kama chatbot. Anza kuiendesha kama mfumo. 3-hour operator training + full Notion stack + 7-day launch plan.

Thamani: 1,650,000 TZS · Baadaye: 650,000 TZS+
450,000 TZS

Malipo mara moja · Lifetime access · Founding slots 50

Lipa Sasa · 525,000 TZS M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · CRDB
Jinsi ya kulipa (hatua 3):
  1. Bonyeza "Lipa Sasa" hapo juu, utapata jumla sahihi.
  2. Tuma malipo kwa M-Pesa / Mixx / Airtel:
Namba: 0760962379
Jina: Elius Kamuhangire
Kiasi: 525,000 TZS
  1. Tuma screenshot ya malipo kwa WhatsApp 0760962379. Utapata link ya Notion + materials + recording ndani ya dakika 5–10.

Maswali ya kawaida

Je, nahitaji coding experience au degree?
Hapana. Kama unaweza kufungua folder, kuandika maandishi, na kufollow step-by-step (kama kufunga app), unaweza kumaliza hii masterclass.
Je, inafanya kazi na Cursor, Claude Code, au Grok?
Ndio. Architecture ni sawa (CLAUDE.md, AGENTS.md, au .cursorrules). Tutafundisha pattern, sio tool moja pekee.
Je, nitapata agent halisi kwenye WhatsApp au Telegram?
Ndani ya masaa 3 utaweka foundation (constitution + STATE + skills). Day 5–7 ya 7-Day Plan utakuwa na uwezo wa kuwa na first real reply kutoka agent.
Je, nahitaji kulipia tools za AI?
Free tiers zinatosha kwa 90% ya kazi. Paid plans (Claude Pro, Cursor, Grok) zinasaidia context ndefu na tool calls nyingi zaidi.
Notion stack inapatikana lini?
Baada ya malipo na kuthibitisha screenshot, utapata link moja kwa moja. Lifetime access.
Je, kuna bump ya Growth Club au support?
Ndio — unaweza kuongeza Mwezi 1 wa implementation support wakati wa checkout. Inajumuisha threads za feedback kwenye workspace yako.

Unachokosa ni mfumo mmoja tu

Stack ile ile. Masaa yale yale. Mfumo tofauti.

Kwa 450,000 TZS na masaa 3, utajenga mfumo unaorudia kazi na kukumbuka kila kitu — na utaanza kuonyesha kazi halisi.

Anza Sasa · 450,000 TZS

Elius McBenvics · Zillim AIO Systems · Dar es Salaam